Love is Blind [Pochi Nene ]- Yoyo Zing Official video

ngoma hii inasimulia hadithi ya maisha ya mtu mmoja ambapo alikutana na mwanamke barabarani akiwa na mtoto wa kike. Licha ya yeye kuwa mama wa mtoto mmoja, alimkubali na kumpenda hadi wakaoana. Hata hivyo, uhusiano wao uliisha kwa uchungu baada ya mwanamke huyo kumsaliti kwa kutoka kimapenzi na baba wa mtoto wake (anayejulikana kama "baby daddy").
nyasi chomiet inne ,,

kyoldo pochi nene
pochi nene yoyo zing
yoyo sing
yo-yo zing

Дата на публикация: 29 май, 2025
Категория: Друго

Показване на още