Самолет Боинг със 157 пътници от 35 държави се разби в Етиопия ! Wakenya 35 wapoteza maisha katika ajali ya Ethiopian Airline

Самолет със 157 пътници от 35 държави се разби в Етиопия ! Wakenya 35 wapoteza maisha katika ajali ya Ethiopian Airline.Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157, waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines, iliyotokea leo asubuhi nchini Ethiopia. Abiria hao walikuwa ndani ya ndege aina ya Boeing 737 Max nambari ya safari ikiwa ET 302, iliyokuwa safarini kutoka Addis Ababa, Ethiopia kuja Nairobi. Ndege hiyo inasemekana ilikuwa mpya na ilikuwa imetumika kwa miezi minne pekee. Maafisa wakuu serikalini watasafiri kuelekea Ethiopia, kusaidia katika shughuli za baada ya mkasa.

Дата на публикация: 10 март, 2019
Категория: Новини
Ключови думи: Ya от се със разби самолет държави 35 Ethiopian 157 пътници Етиопия Wakenya wapoteza katika ajali maisha Airline

Показване на още